Siku ya Juzi Jumapili ilikuwa ni siku ya Furaha kwa Erick
Brighton wa Praise Power Radio na Mkewe, baada ya kufunga Ndoa na
Kuunganishwa kuwa Mwili mmoja. Ndoa ilifungwa katika Kanisa la Mikocheni
B Assemblies of God na Kufuatiwa na Tafrija ya Kuwapongeza Maharusi hao
iliyofanyika katika Ukumbi wa Banora-Mlimani City. Mc wa Shughuli hii
alikuwa ni Mzee wa Gospel Music ya Channel Ten, Boniphace Magupa. Tazama
jinsi mambo yalivyokuwa pale ukumbini………

Erick na Mkewe

High Table ya familia ya Erick Brighton

Baba Mzazi wa Erick Brighton

Mama Mzazi wa Bibi Harusi

Kuhoto ni Mdogo wa Erick Brighton

Martha Mwaipaja akiwa na Mumewe

Mc Boniphace Magupa akiwa na Jessica Honore

Mambo ya Mlo hayoooo!!!


Wafanyakazi wa Praise Power Radio wakipata Picha ya Pamoja

Baadhi ya Wadau waliofika kushuhudia Harusi hiyo

Baadhi ya Wanakamati ya Maandalizi. Sailas Kushoto na Mwenyekiti Noel Tenga

Kamati ya Maandalizi ya Harusi ikipata Picha ya Pamoja na Maharusi
No comments:
Post a Comment