Tuesday, June 18, 2013

HOW AMAZING.. MORE THAN 60 PEOPLE GOT SAVED ON WORD ALIVE OUTDOOR CRUSADE

JESSICA HONORE




 



WATU WAKIOMBEWA KUMPOKEA KRISTO KATIKA MAISHA YAO.



















PASTOR DEO LUBALA.. WORD ALIVE MINISTRIES SENIOR PASTOR
WATU WALIPATA MUDA MZURI WA KUPOKEA KUTOKA KWA BABA
VIJANA WAMPENDAO MUNGU WALIKUSANYIKA PAMOJA KUSHIRIKI HUDUMA HII
Katika mkutano uliofanyika katika viwanja vya shule ya Msingi Mapambano Sinza, mwisho wa wiki iliyopita watu zaidi ya sitini walikabidhi maisha yao kwa Kristo Yesu, ni Jambo la kumshukuru mungu sana, maana wengi wao walikuwa ni vijana.. Mkutano huo  uliongozwa na watumishi mbali mbali kutoka sehemu tofauti za Tanzania na Mtumishi wa njia ya kuimba aliyetokea Congo. kanisa la Word Alive ambalo linapatikana maeneo ya Sinza Mori ndio walioandaa mkutano huo na ulikuwa worthy doing it, sifa zirudi kwa Bwana, na Mungu pia awabariki Word live Church kwa kujitoa kufanya kazi hiyo ya Mungu..

WORD ALIVE PRAISE AND WORSHIP TEAM
FULL KUABUDU BILA KUJALI MACHO YA WATU
LA MASIAS NAYE ALIWAKILISHA CHRIST SWAGS WITH HIS CRUNKED SONG.. PRAISE

LA MASIAS



DANCE ZA KUFA MTU.. FROM SARA, WINTY PALE KATI















WORD ALIVE BAND WIT EBBY, MAJESHI NA JAMAA ZAO

No comments:

Post a Comment